TAWA YAMDHIBITI MAMBA ALIYEZUA TAHARUKI BUCHOSA

Kijiji cha Kahunda charindima Kwa nderemo na vifijo Na. Beatus Maganja Maofisa wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Nchini – TAWA kwa kushirikiana na wananchi wa Kijiji cha Kahunda kilichopo Kata ya Katwe Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema na mkoa wa Mwanza wamefanikiwa kumdhibiti mamba aliyezua taharuki takribani wiki nzima Kijijini humo kabla ya kuleta …