Afrika, ikiwa ni pamoja na Tanzania, imefaidika sana na maendeleo na ushirikiano wa China tangu kuanzishwa kwa China Mpya miaka 75 iliyopita, Joseph Kahama, katibu mkuu wa Jumuiya ya Kukuza Urafiki kati ya Tanzania na China, aliiambia Xinhua kabla Siku ya Kitaifa ya China. Tangu kuanzishwa kwake mnamo Oktoba 1, 1949, Jamhuri ya Watu wa …
The Best IT Solutions